FAIDA ZA KUMSIKILIZA MUNGU vijana wasio na mawaa, wazuri wa uso, wajuzi wa hekima, werevu kwa sababu ya maarifa yao, wenye kufahamu elimu, watakaoweza kusimama katika jumba la mfalme; tena alimwambia awafundishe elimu ya Wakaldayo, na lugha yao. kila kijana ni lazima awe tayari kutumika mbeleza Mungu na kujinyenyekesha mbele zake wakati ni huu ulionao kwa ajili ya kumtumikia Mungu yoshua antoa habari kuamua kutumika mbele za Mungu au kutumikia miungu umepewa uhuru wakuchagu lakini bado umeelezwa uzuri wa kutumika mbele za Mungu na ubaya wa kutotumika Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana.
FAIDA ZA KUMSIKILIZA MUNGU
vijana wasio na mawaa, wazuri wa uso, wajuzi wa hekima, werevu kwa sababu ya maarifa yao, wenye kufahamu elimu, watakaoweza kusimama katika jumba la mfalme; tena alimwambia awafundishe elimu ya Wakaldayo, na lugha yao.
kila kijana ni lazima awe tayari kutumika mbeleza Mungu na kujinyenyekesha mbele zake wakati ni huu ulionao kwa ajili ya kumtumikia Mungu yoshua antoa habari kuamua kutumika mbele za Mungu au kutumikia miungu umepewa uhuru wakuchagu lakini bado umeelezwa uzuri wa kutumika mbele za Mungu na ubaya wa kutotumika Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana.
Yoshua 24:15
Katika kitabu cha kumbukumbu la torati 28 inazungumuziwa habari ya baraka ambazo humpata mtu baada ya kusikia sauti ya Mungu kwa mtu huyo atabarikiwa katika kila eneo lakini pia kuna laana ambazo zimeelezwa baada yakutoitii sauti ya Mungu

kwa hivi nikuagizavyo leo kumpenda Bwana, Mungu wako, kuenenda katika njia zake, na kushika maagizo yake, na amri zake, na hukumu zake, upate kuwa hai na kuongezeka; Bwana, Mungu wako, apate kukubarikia katika nchi uingiayo kuimiliki.
Lakini moyo wako ukikengeuka, usipotaka kusikiza, lakini ukavutwa kando kwenda kuabudu miungu mingine, na kuitumikia;
nawahubiri hivi leo hakika mtaangamia; hamtazifanya siku zenu kuwa nyingi juu ya nchi, uivukiayo Yordani, uingie kuimiliki.
Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako;
kumpenda Bwana, Mungu wako, kuitii sauti yake, na kushikamana naye; kwani hiyo ndiyo uzima wako, na wingi wa siku zako; upate kukaa katika nchi Bwana aliyowaapia baba zako, Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kuwa atawapa. kumbukumbu 30:15-20

Hakuna maoni: